Swahili
Msaada kwa Waafrika kuhusu UKIMWI kwa njia ya simu
0800 0967 500
Kila Alhamisi saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
Ushauri na habari kuhusu UKIMWI na Afya ya Jamii kwa Waafrika waishiyo Uingereza
Jikinge na UKIMWI.
Simu ni ya bure naya siri